Resources
Explore our constitution, handbooks, training guides, devotionals, and more
Constitution & Governance
Handbooks & Training Guides
Member Handbook
A complete guide for new members on roles, responsibilities, and church life.
Coming Soon!Leadership Training Guide
Resources for church men to effectively serve the fellowship and community.
DownloadMentorship Manual
A practical guide for mentoring new believers and youth in the faith.
coming Soon!Anthem & Pledge
PCMF Anthem Audio
Listen to the official PCMF Anthem.
Anthem Lyrics
The Anthem Lyrics
NDUGU ZETU WAKRISTO
1.
Ndugu zetu wakristo,
Naukumbukeni ushindi,
Yehova aliyo washindania;
Kutoka na na hatari,
Ya adui wa misiri,
Wakapinduliwa kule nyikani.
Chorus
Nikiitwa nitaitika,
Nikiitwa nitaitika,
Ili nifanya kazi yake Bwana;
Niifanye kwa bidii,
Nikimtagemea Bwana,
Na ufalme wake nitaridhi.
2.
Pendo lenu watu wa Mungu,
Na lisiwe na unafiki,
Lichukieni li lilo ovu;
Nalo lile lililo njema,
Li-a mbatane nanyi,
Pendo nalo lizidi kwa mwingine.
3.
Kuweni wakarimu,
Pia muwe nayo heshima
Kwa bidii na siyo ulegevu
Mukiwa nayo juhudi,
Katika rohoni zenu,
Kuweni watumishi wake Bwana.
4.
Furahini kwa sababu,
Mnalo tumaini,
Mkisubiri katika dhiki;
Na mzindishe kusali,
Pamoja na kufunga,
Na liwe ni jambo la kila siku.
5.
Shugulikieni mahitaji,
Ya watakatifu,
Na muonyeshe ukarimu kwao;
Wale wanao wandulumu,
Wabarikini pia,
Na muepuke kuwalaani.
6.
Furahini pamoja nao,
Wao wafurahio,
Lieni pamoja na wao waliao;
Mpatane nia zenu,
Zote ninyi kwa ninyi,
Na msiwe watu wa kujivuna.
1.
Ndugu zetu wakristo,
Naukumbukeni ushindi,
Yehova aliyo washindania;
Kutoka na na hatari,
Ya adui wa misiri,
Wakapinduliwa kule nyikani.
Chorus
Nikiitwa nitaitika,
Nikiitwa nitaitika,
Ili nifanya kazi yake Bwana;
Niifanye kwa bidii,
Nikimtagemea Bwana,
Na ufalme wake nitaridhi.
2.
Pendo lenu watu wa Mungu,
Na lisiwe na unafiki,
Lichukieni li lilo ovu;
Nalo lile lililo njema,
Li-a mbatane nanyi,
Pendo nalo lizidi kwa mwingine.
3.
Kuweni wakarimu,
Pia muwe nayo heshima
Kwa bidii na siyo ulegevu
Mukiwa nayo juhudi,
Katika rohoni zenu,
Kuweni watumishi wake Bwana.
4.
Furahini kwa sababu,
Mnalo tumaini,
Mkisubiri katika dhiki;
Na mzindishe kusali,
Pamoja na kufunga,
Na liwe ni jambo la kila siku.
5.
Shugulikieni mahitaji,
Ya watakatifu,
Na muonyeshe ukarimu kwao;
Wale wanao wandulumu,
Wabarikini pia,
Na muepuke kuwalaani.
6.
Furahini pamoja nao,
Wao wafurahio,
Lieni pamoja na wao waliao;
Mpatane nia zenu,
Zote ninyi kwa ninyi,
Na msiwe watu wa kujivuna.
PCMF Pledge
"I pledge to walk in faith, serve in love, and lead by example as a disciple of Christ."
This pledge is recited during special church occasions and fellowship meetings.
Devotionals
Daily Walk with Christ
A 30-day devotional to strengthen your faith journey.
Read Online Download PDFWeekly Reflections
Short reflections on scripture for personal meditation and group study.
View Reflections